Sh220,000
  • June 9, 2021 5:47 am
  • Dar Es Salaam

Hii ni Router ya tofauti na tulizoea, ni Router bora kabisa kwa matumizi ya ofisi au Nyumbani. Hii inakuja na Bettry ndani hupati shida hata umeme ukikatika unaendelea kupata Internet kwa sababu ina betry yake ndani inakaa na charge kwa mda mrefu. na kwa wale wapenda ku download au kucheza online Games hii Router ndio solutions yenyewe. Unapata speed ya Internet bila kukwama Unaipata kwa Tsh 220,000/=

Tunapatikana Dsm Mbezi beach Africana 0735907555 au 0757907555

Overview

  • Category : Other Electronics
  • Condition : New

Leave a Review

Your email address will not be published. Required fields are marked *