• June 4, 2021 4:52 am
  • Dar Es Salaam

MAUMIVU YA KIUNO/ NYONGA – ni hali inayotokea mara nyingi na inayohusu misuli na mifupa ya upande wa chini wa mgongo. Hali hii huathiri takriban 75% ya watu wazima .

AINA ZA MAUMIVU YA KIUNO

Maumivu ya kiuno yanaweza kuainishwa kwa urefu kama;

1.maumivu makali ya ghafla
— (yanayodumu kwa kipindi cha chini ya wiki 6),
2. maumivu sugu ya wastani (wiki 6 hadi 12),

3. maumivu sugu (zaidi ya wiki 12).

Hali hii pia inaweza kuainishwa kulingana naVISABABISHI ;

Katika visa vingi vya maumivu ya kiuno, huaminika kusababishwa na jeraha kama
vile
1.mkazo wa misuli au mkazo wa viunga.

2.Baadhi ya maumivu ya kiuno husababishwa na kuharibika kwa diski za baina ya pingili za uti wa mgongo

3. Upungufu wa virutubisho muhimu mwilini.

4.Unene wa kupindukia.

5.kuvuta sigara.

6. kunenepa wakati wa ujauzito.

7.mfadhaiko ( stress).

8.matatizo ya mwili kama magonjwa ya arthritis

9 mkao mbaya na kulala vibaya pia huchangia maumivu ya mgongo.

10.kuharibika kwa diski zilizo katikati mwa pingili za uti wa mgongo au henia ya diski ya uti wa mgongo.

11.kuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo (kama vile kufuatia osteoporosisi) .

12. maambukizi au tyuma ya uti wa mgongo.

13. Wanawake wanaweza kuwa na maumivu ya kiuno kutokana na hali zinazoathiri mfumo wa uzazi, ikijumuisha endometriosisi, sisti ya ovari, saratani ya ovari au fibroidi ya uterasi

14. Karibu nusu ya wanawake wajawazito hulalamikia maumivu ya kiuno au ya sehemu ya sakramu wakati wa ujauzito, kufuatia mabadiliko ya hali ya kukaa na kiuo cha mvuto hivyo kusababisha mkazo wa misuli

Follow page yetu@fitness_palace1

Ushauri/ tiba asili 0621302421

Overview

  • Category : Health & Beauty Items
  • Condition : New

Leave a Review

Your email address will not be published. Required fields are marked *