84c59a4e-2c9c-4af8-b717-5ed732379f86
5f1cda77-c87c-4ed7-ac3f-0a7df44997d9
Sh74
  • July 1, 2022 11:04 pm
  • Dar Es Salaam

Faida za kutumia Aloe Vera Gel
(Benefits of using Aloe Vera Gel)

1.Inasaidia kusafisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
(It helps in cleaning the degestive system)

2.Inasaidia mchakato wa usagaji wa chakula.
(It helps in food breakdown process)

3.Inasaidia unyonywaji wa virutubisho lishe ndani ya mwili
(It helps in nutrient absorption inside the body)

4.Inasaidia kuboresha mfumo wa kinga mwilini.
(It helps to boost body immunity system)

5.Inasaidia kuboresha na kung’arisha zaidi ngozi na kuwa na nywele zenye afya.
(It helps to boost and glowing the skin and hair health)

Overview

  • Category : Health & Beauty Items
  • Condition : New

Leave a Review

Your email address will not be published. Required fields are marked *