Screenshot_20210517-1458532
Screenshot_20210516-124743
Sh80,000
  • May 17, 2021 1:18 pm
  • Dar Es Salaam

Hii ni wireless camera ambayo iko kama bulb/taa na ni ngumu mtu kujua kama ni camera

Unaweza kuitumia kuangalia matukio yanayoendelea nyumbani kwako au sehemu yako ya biashara hata kama uko mbali (mfano uko mkoa mwingine)

Inafaa pia kwaajili ya kumsimamia dada wa kazi na kuamgalia jinsi anavyomlea mtoto wako pindi unapomuacha nae nyumbani .

Overview

  • Category : Cameras & Camcorders
  • Condition : New
  • Brand : Other Brand
  • Item Type : Security and Surveillance Camera
  • Hidden camera
  • 360° view
  • HD picture
  • Support 2 way audio

Leave a Review

Your email address will not be published. Required fields are marked *