upload-productImg-62495958528401019
upload-productImg-62495738307614879_320_234
upload-productImg-62495154352916578-1
upload-productImg-62495129125357769
upload-productImg-62495140445401843
Sh80,000
  • May 25, 2021 1:48 pm
  • Dar Es Salaam

#SIFA ZAKE
Ni ndogo yakuweza kuiweka popote.

Ina uwezo wa kuzunguka (rotate) ukaona pande zote za eneo lako, yaani hakuna haja ya kuweka camera nyingi eneo moja hii itamulika pande zote.

Ina uwezo wa ku record matukio na baadae uka replay matukio Yote.

Inakuwezesha kuangalia moja kwa moja picha/video popote ulipo uone KINACHOENDELEA live ukiwa sehemu yoyote hata nje ya nchi.

Haitumii umeme mwingi, inaweza kutumia umeme wa kawaida, Solar au hata power bank inaweza kuiwasha.

Uwezo wa kuona hata kwenye giza taa zikiwa zimezimwa.

Hii Camera ina VOICE FUNCTION  ambayo itakusaidia kuwasiliana na mtu aliyepo karibu na Camera na mkasikilizana vizuri kabisa.

Hii camera inauwezo wa MOTION DETECTION FUNCTION ina uwezo wa kuhisi mtu akipita na utapata ujumbe/alarm kwenye simu yako mara moja.

Inatumia waya wa USB kama power supply

Unaweza kufunga juu kwenye ukuta au roof,
Easy installation (ni rahisi kuifunga haitaji fundi kufunga)

Tunapatikana Dsm Mbezi beach Africana. KARIBUN SANA. 0735907555 or 0757907555

Overview

  • Category : Cameras & Camcorders
  • Condition : New
  • Brand : Other Brand
  • Item Type : Security and Surveillance Camera

Leave a Review

Your email address will not be published. Required fields are marked *