• Mei 14, 2021 7:55 mu
  • Morogoro
Sh25,000

Ni nyumba kubwa ya kisasa ipo hatua za kupaua. kiwanja cha kwenye kona, mtaa tulivu. kihonda block L kiwanja namba 426. jengo lina vyumba 5, kati ya hivo 3 master, sebule kubwa, sehemu ya chakula, jiko na store. malipo kwa awamu yanapokelewa

Overview

  • Category : Houses
  • Adress : Morogoro
  • House Size : 784
  • Adress : Morogoro
  • Appt Size : 600
  • Bed : 5
  • Bath : 3
  • Toilet : 3

Leave a Review

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Language ยป