9f5c207b-1cbe-47ea-a367-f124f2079e7d
  • July 27, 2021 3:03 pm
  • Dar Es Salaam

Karibu Sana ujipatie vitanda vya chuma kwa gharama nafuu Sana. Vitanda hivi ni imara na vinadumu kwa muda mrefu saa.
Natengeneza kila size kulingana na mahitaji yako.
Size 5*6 tsh 280000
Size 6*6 tsh 300000
Size 4*6 tsh 230000
Double decker Bei inaanzia tsh 450000 mpka 650000 Bei ya double decker inategemea na desing na size. Tuwasiliane. 0653 155056/ 0765 268903

Overview

  • Category : Furniture
  • Furniture Type : Bed / Bedroom Item
  • Condition : New

Leave a Review

Your email address will not be published. Required fields are marked *